Ijumaa, 11 Aprili 2014

UJAMBAZI KINONDONI MOROCCO MAJAMBAZI WAPORA MUDA MFUPI ULIOPITA


Tukio limetokea muda mchache uliopita pale Moroko. Watu waliokuwa kwenye gari waliwarushia risasi watu wa gari nyingine na kukwapua fuko la pesa na kutoweka nazo.
CHANZO : JAMII FORUMS

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni