Jumatatu, 12 Mei 2014

JK AONGOZA SHEREHE ZA SIKU YA UUGUZI DUNIANI ARUSHA

3 (6)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini jinsi wauguzi wanavyotoa huduma ya afya kwa wagonjwa wakati alipotembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho ya Wauguzi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa Kumbukumbu yaSheikh Amri Abeid mjini Arusha leo.
1 (6)4 (3)Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo(picha na Freddy Maro) 2 (6)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni