Taarifa zilizotufikia Muda huu kutoka Igurusi zinasema Basi la New Force lililokuwa likitoka Dar es salaam kuja Mbeya limepata Ajali Mbaya eneo la Igurusi na kusababisha Vifo vya watu wawili hapo hapo walikuwa wakitembea kwa miguu na kujeruhi wengine Arobaini ambao wanakimbizwa Hospitali sasa na kusaidiwa, Taarifa kamili na picha zinakuja
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni