Alhamisi, 5 Juni 2014

GARI LAINGIA BENKI MORO

Gari limegonga mlango wa kioo wa kwenye Benki ya CRDB, mkoani Morogoro. Taarifa zinasema kuwa dereva huyo alishindwa alikuwa anataka kurudi nyuma kumbe alibonyeza sehemu ya kuendeshea ndo akaishia kuingia CRBD bila hodi. Picha na Taarifa News.
Gari limegonga mlango wa kioo wa Benki ya CRDB, mkoani Morogoro. Taarifa zinasema kuwa dereva huyo alikuwa anataka kurudi nyuma kumbe alibonyeza sehemu ya kuendeshea ndo akaishia kuingia CRBD . Picha na Taarifa News.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni