NOAH

Kurasa

  • HOME
  • CONTACT US
  • NAFASI ZA KAZI

Jumatatu, 30 Juni 2014

LADY JAYDEE APAGAWISHA KENYA

Zilikuwa ni shangwe zakupitiliza pale mkali kutoka tzee Jaydee ilipofika zamu yake ya kupanda jukwaani, unaambiwa vile amepanda tu, uwanja mzima uliokuwa umefurika mashabiki, ulikuwa umeanza kupiga kelele zikisema yahayaa, ilikuwa ni kuanzia alipoanza kuimba nyimbo ya kwanza hadi ya saba, lakini watu wapi, walikuwa wamekazia na kuendelea kupaza sauti wakililia wimbo wa yahaya. Ni jambo ambalo hata lady Jaydee mwenyewe hakulitegemea.

Jaydee alifunguka nakusema “Tangu naanza kuimba wimbo wa kwanza mpk wa 7 watu wana scream tu, Yahaya, Yahaya. Duuuh! Kenya vipi?
Posted by Unknown at 04:51
Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye FacebookShiriki kwenye Pinterest

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)

NOAH JR

NOAH JR

Machapisho Maarufu

  • UNA KIGUGUMIZI? FANYA YAFUATAYO
      Kigugumizi ni hali ambayo mtu anashindwa kuongea moja kwa moja, kukwama kutamka neno, kurudiarudia neno au kuacha kuongea kabisa. Hali hi...
  • MTU MMOJA AFARIKI KATIKA AJALI SINGIDA
    Lori aina ya Scania likiwa limeharibika baada ya ajali   Lori moja aina ya scania (pichani) limepata ajali kwa kuligonga lori li...
  • UCHUNGUZI KUANZA HUKO CAR - ICC
    Mahakama ya ICC inasema ina taarifa za kuaminika kuhusu uhalali wa kivita uliotendwa nchini humo. ...
  • TEMBO AUA MLINZI WAKE
    Polisi walisema Tembo huyu alimkanyaga mlinzi wake kwa bahati mbaya kifuani Polisi nchi Marekani...
  • Cristiano Ronaldo ashinda tuzo ya Ballon d'Or 2016
    Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kwa sasa wameshinda tuzo hii wakipokezana kwa miaka tisa mfululizo ...
  • MWANABLOG ACHAPWA FIMBO 1000
    Mwanablogu wa Saudi Arabia aliyehukumiwa kifungo cha 10 Mwanablogu n...
  • Mwanamke mwenye kilo 500 kufanyiwa upasuaji India
    Eman Ahmed Abd El Aty Mwanamke mmoja raia wa Misri anayeaminiwa kuwa mtu mzito zaidi duniani akiwa na kilo 500, hivi karibuni atasaf...
  • MAYWEATHER AMDUNDA McGREGOR
      Bondia maarufu duniani Floyd Mayweather amemdunda kwa TKO Bondia Conor McGregor katika raundi ya 10 katika mpambano wa raundi 12 usiokuwa...
  • COSTA RICA YATINGA ROBO FAINALI KWA MATUTA
    COSTA Rica wamefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya kombe la dunia kwa kuifunga Ugiriki kwa mikwaju ya penati 5-3 baada ya daki...
  • UKATILI WA KUTISHA IRINGA BABA WA KAMBO AWACHOMA MOTO WATOTO WAWILI HUKU MAMA YAO AKISHANGILIA, KISA KUTUMIA TSH 10,000 VIBAYA
    Askari polisi akimuongoza mama wa watoto hao polisi Askari wanaharakati wa dawati la mtandao wa jinsia kulia na kushoto wak...

BLOG MARAFIKI

  • MATUKIO NA VIJANA
    - *MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu kwenye ukum...
    Miaka 7 iliyopita

Kumbukumbu la Blogu

  • Novemba (12)
  • Desemba (31)
  • Januari (95)
  • Februari (51)
  • Machi (65)
  • Aprili (77)
  • Mei (49)
  • Juni (73)
  • Julai (83)
  • Agosti (101)
  • Septemba (156)
  • Oktoba (40)
  • Novemba (13)
  • Desemba (21)
  • Januari (67)
  • Februari (47)
  • Machi (32)
  • Aprili (58)
  • Mei (103)
  • Juni (73)
  • Julai (33)
  • Agosti (6)
  • Septemba (7)
  • Oktoba (5)
  • Novemba (4)
  • Desemba (4)
  • Januari (7)
  • Februari (6)
  • Machi (10)
  • Aprili (11)
  • Mei (5)
  • Juni (12)
  • Julai (11)
  • Agosti (3)
  • Septemba (4)
  • Oktoba (6)
  • Novemba (24)
  • Desemba (10)
  • Januari (26)
  • Februari (14)
  • Aprili (4)
  • Mei (13)
  • Juni (4)
  • Julai (10)
  • Agosti (32)
  • Septemba (25)
  • Oktoba (8)
  • Novemba (12)
  • Desemba (20)
  • Januari (12)
  • Aprili (4)

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Kunihusu

Unknown
Tazama wasifu wangu kamili
Mandhari ya Dirisha la Picha. Inaendeshwa na Blogger.