Alhamisi, 26 Juni 2014

USWISS YASONGA MBELE

Timu ya soka ya Uswiss imeifunga Honduras kwa mabao 3-0 ambapo Xherdan Shaqiri alipiga hat trick (kufunga mabao matatu).

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni