Taarifa kutoka Somalia zinasema kwamba kumekuwa na makabiliano
makali milipuko ikisikika katika eneo la hoteli moja inayotumika kama makao
makuu ya vikosi vya Afrika vya kulinda amani.
Walioshuhudia mkasa huo wanasema hoteli hiyo iliyopo katika mji wa Bulo- burde, imeshambuliwa na wanamgambo wa Al -shabaab.
Taarifa zaidi zitawajia pindi zikitujia BBC
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni