Jumanne, 15 Julai 2014

AJALI YAUA WAWILI MOSHI


Gari dogo aina ya Toyota Corolla lilikiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Range Rover katika makutano ya barabara ya Arusha/Moshi jirani kabisa na kipita shoto(Keep left) cha Arusha


Gari aina ya Range Rover lenye likiwa limeharibika vibaya baada a kugongana uso kwa uso na gari dogo

Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali .

Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Range Rover baada ya kugongwa.

Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wakitizama pikipiki iliyokuwa chini ya gari hiyo
Hivi ndivyo pikipiki inavyoonekana ikiwa chini gari.
Askari polisi wa kikosi cha usalama barabarani wakichukua vipimo mara baada ya kutokea kwa ajali hiyo ambayo watu wawili wanadaiwa kufariki dunia papo hapo huku wengine watatu wakijeruhiwa vibaya akiwemo dereva bodaboda aliyevunjika miguu.


Baadhi ya wanannchi wakitizama ajali iliyotokea katika makutano ya barabara kuu ya Moshi/Arusha na ile ya kuelekea ofisi za mkuuu wa wilaya ya Moshi (TK)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni