Na Suzy Baltazar |
"Huyu anaitwa Afande John kapata ajali mbaya mpaka kufariki maeneo ya Kisarawe huyo yupo pale myfair TRA upande wa leseni za magari (Driving licence). Pole kwa jeshi la polis pia na familia mwenyezi Mungu ailaze roho yake pema peponi Amen. Koplo John alikuwa ni kipenzi cha wengi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni