Ndege ya Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote ikiwasili katika uwanja wa Mtwara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), akiwa na balozi wa Nigeria, Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mtwara, Francis Kasoyaga (wa pili kulia) wakiwa uwanja wa Ndege wa Mtwara wakati wakimsubiri kumpokea Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote.
Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote akishuka katika Ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Mtwara.
Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote akisalimiana na balozi wa Nigeria.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt Kimei akisalimiana na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni