Alhamisi, 18 Septemba 2014

MKUTANO WA 15 WA UWEKEZAJI WAFANYIKA THE HAGUE

Screen Shot 2014-09-17 at 11.21.47 AM
BALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI MH. WILSON MASILINGI, AKIFUNGUA MKUTANO WA 15 WA SEKTA YA UWEKEZAJI TANZANIA - THE HAGUE NETHERLANDS.
IMG_7439COUNSELLOR WA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI MH. MATIKU AKIFUATILIA MADA.
IMG_7453BALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WILSON MASILINGI, AKIFUATILIA MADA ILIYOTOLEWA NA MASHIRIKA YA UWEKEZAJI TANZANIA.IMG_7509WAFANYAKAZI WA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI, WALISHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA MKUTANO HUO WA UWEKEZAJI.IMG_7628PICHA YA PAMOJA YA UJUMBE KUTOKA TANZANIA WAKIONGOZWA NA WAZIRI WA MIFUGO NA MAENDELEO YA UVUVI, MH. DR TITUS MLENGEYA KAMANI, (WA TATU KUTOKA KUSHOTO WALIOKAA) AMBAYE ALIMWAKILISHA WAZIRI BERNARD MEMBE.​IMG_7636MWENYEKITI WA WA WATANZANIA WAISHIO UHOLANZI NDUGU DAMIANI GEORGE WA (NNE KUTOKA KUSHOTO) AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA UJUMBE KUTOKA SEKTA YA UWEKEZAJI TANZANIA.IMG_7660WAJUMBE WA TANE UHOLANZI, AMBAO WALISHIRIKI MKUTANO HUO WA UWEKEZAJI.TANE NI CHAMA CHA WATANZANIA WAISHIO UHOLANZI NA MALENGO YAO NI KUPELEKA MAENDELEO TANZANIA.Screen Shot 2014-09-17 at 11.14.41 AMBALOZI WILSON MASILINGI AKIWEKA SAINI ZA MAKUBALIANO KATI YA SOUTHERN AFRICA -NETHERLANDS CHAMBER OF COMMERCE (SANEC) PAMOJA NA TANZANIA CHAMBER OF COMMERCE,INDUSTRY AND AGRICULTURE (TCCIA).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni