Katibu
Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akiwa na Rais wa Kampuni
ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo wakisaini
makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi
Mtwara. Makubaliano hayo yalifanyika Beijing, China tarehe 10 Januari
2015. nyuma ya Katibu Mkuu (aliyesimama) ni Waziri wa Maji Mheshimiwa
Prof. Jumanne Abdallah Maghembe (Mb).
Katibu
Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akipeana mikono na Rais wa
Kampuni ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo baada
ya makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma
hadi Mtwara. Makubaliano hayo yalifanyika Beijing, China tarehe 10
Januari 2015.Mheshimiwa
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Abdallah Maghembe (Mb) akipeana mikono na
Rais wa Kampuni ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo
baada ya saini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa wa kutoa maji
kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara. Makubaliano hayo yalifanyika Beijing,
China tarehe 10 Januari 2015. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji,
Mhandisi Mbogo Futakamba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni