Mabomu mawili yamelipuka yakilenga makanisa mawili yaliyokuwa yamejaa
watu kwenye mji wa Lahore chini Pakistan wakati watu walipokuwa
wakihudhuria misa ya jumapili.
Polisi wanasema kuwa takriban watu 6 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa.Mashambulizi hayo yanaoyoaminika kuwa ya kujitoa mhanga yalifanyika eneo lenye waumini wengi wa kikristo la Youhanabad
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni