BREAKING NEWS: POLISI WAZINGIRA NYUMBA YA ASKOFU GWAJIMA
Jeshi la
polisi likiwa na silaha za moto limezingira nyumba ya kiongozi wa kanisa
la ufufuo na uzima Askofu Gwajima lilipo Salasala, jijini Dar es Salaam.
Sababu haijajulikana ni nini ila tutakujuza ikishaeleweka
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni