Mama huyu raia wa kigeni akilia baada ya kurushiwa mawe na wenyezi wa Afrika Kusini katika ghasia za kupinga wahamiaji zinazoendelea nchini humo
Raia wa kigeni wakiamua kujihami kwa kuchukua silaha kupambana na wenyeji
Wenyeji wa Afrika Kusini wakiimba huku wakiwa na silaha za jadi kuwataka wageni waondoke nchini humo
Polisi wakizidi kupambana na wenyeji hao
Mwendo wa doria na kupambana na ghasia hizo
Wenyeji wakiwa wamewekwa chini ya ulinzi mjini Johannesburg
Afrika Kusini inaonekana kuchafuka
Raia wa kigeni wakitoa bidhaa katika maduka yao kufuatia kushambuliwa na wenyeji
Maandamano ya kupinga ghasia dhidi ya wageni yalifanyika mjini Durban
Maandamano ya kupinga kushambulia wahamiaji yakiendelea nchini Afrika Kusini
Raia wa kigeni akiwa ameshika silaha tayari kupambana na wenyeji wasiowataka nchini humo
Wenyeji wakizuiwa na askari wasifanye fujo hizo
Wageni wakizidi kuhamisha mali zao kufuatia ghasia hizo zilizoibuka wiki iliyopita
Baaadhi ya raia ya kigeni wakiwa wamehifadhiwa katika kambi baada ya kukimbia fujo na kuepusha maisha yao
Hivi Afrika Kusini imesahau mchango na jitihada za Waafrika wenzao katika mapambano ya kudai uhuru wa taifa hilo?
Ama kweli shukrani ya punda..…
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni