Jumatano, 22 Aprili 2015

YANGA WALIPOITANDIKA STAND UNITED GOLI 3 KWA 2

 Mshambuliaji waYanga, Amis Tambwe akichuana na beki wa Stand United, Peter Mutabuzi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-2. 
 Amis Tambwe akichuana na beki wa Stand United, Peter Mutabuzi.
 Mrisho Ngasa akimtoka Jisend Mathias.
Mrisho Ngasa akimtoka Jisend Mathias.

 Andrey Coutinho (kulia) akichuana na Revocutus Mgunda.
 Mrisho Ngasa akiwatoka wachezaji wa Stand United.
 Andrey Coutinho (kushoto) akikabana na Abuu Ubwa.
 Kipa wa Stand United, Hamad Juma akiokoa mpira mbele ya Simon Msuva.
 Amis Tambwe akiwania mpra na Peter Mutabuzi.
 Wachezaji wa Stand United wakimalalamikia mwamuzi wa mchezo huo, Ahamada Simba kutoka Kagera.
Simon Msuva akishangilia bao alilofunga

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni