Waziri
Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa, (kulia),
akipokewa naMwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima
Juma, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mjini, Unguja
Jumamosi usiku, Juni 6, 2015. Mh. Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana
CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM
kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25,
2015. (Picha na K-VIS MEDIA)
Mh. Lowassa, akifurahia jambo na Mzee Borafia, mara baada ya kuwasili kisiwani Zanzinzibar, akitokea Mwanza
Waziri
Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akifurahia
jambo na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini, kisiwani Unguja, Zanzibar,
Borafia Silima Juma, (kulia), na aliyekuwa Mbunge wa Bunge
Maalum la
Katiba, Simai Mohammed Jumamosi usiku Juni 6, 2015 mara baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar. Mh. Lowassa,
yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za
kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu
utakaofanyika Oktoba 25, 2015
Waziri
Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, (kushoto),
akiwasalimia wakereketwa wa CCM, waliofika kumlaki kwenye uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Zanzibar, Jumamosi usiku Juni 6, 2015.
Mh.
Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua
fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye
uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015
Waziri
Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, (kushoto),
akiwasalimia vijana wa Kimasai, waliofika kumlaki kwenye uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Zanzibar, Jumamosi usiku Juni 6, 2015.
Mh.
Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua
fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye
uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015
Waziri
Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, (aliyevaa
suti), akiondoka uwanja wa ndege wa Kitaifa wa Zanzibar, muda mfupi
baada ya kuwasili huku akipokewa na wakereketwa wa CCM, waliofika
kumlaki Jumamosi usiku Juni 6, 2015. 2015. Mh. Lowassa, yuko Zanzibar
kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba
kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu
utakaofanyika Oktoba 25, 2015
Mh.
Lowassa, akiongozana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Mh. Peter Serukamba,
alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar Jumamosi
Juini 6, 2015
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni