Ijumaa, 26 Juni 2015

MV KILIMANJARO V YAZINDULIWA TAYARI KWA SAFARI ZA DAR ES SALAAM NA UNGUJA

 BOTI ya Kilimanjaro V ikishushwa katika Meli ya Thorco Clairvaux ikitokea Nchini Australia, boti hiyo ilishushwa nje kidogo ya Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar na tayari imeshazinduliwa rasmi kuanza safari zake. 
Picha na Haroub Hussein.
 BOTI ya Kilimanjaro V ikitua katika maji ya bahari ya Hindi leo
BOTI ya Kilimanjaro V ikielekea gatini Malindi, Zanzibar, tayari kwa uzinduzi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni