Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo katika
hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, jana katika ukumbi
wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimuapisha waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii na Jinsia, wazee
na watoto, Ummy Mwalimu katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na
Manaibu Waziri, jana katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimuapisha waziri wa Katiba na Sheria, Harrison Mwakyembe
katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, jana katika
ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimuapisha Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck
Nchemba katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, jana
katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni