Mchezaji nyota wa Barcelona 
Neymar anaihama klabu yake ili kuelekea katika klabu ya PSG 
iliyopo nchini Ufaransa, lhatua ambayo inatarajiwa kuigharimu PSG 
rekodi ya uhamisho ya Yuro milioni 222 sawa na Paund za Uingereza milioni 198 au dola za kimarekani 262 milioni au shilingi za kitanzania zaidi ya trillioni 570
Kwa bei hiyo, Neymar mmoja pekee anaweza kununua yafuatayo:
Ndege moja ama tatu
Iwapo unataka kuimarisha ndege ya aina ya snazzier 737-800 - ambayo inatumika sana na kampuni ya ndege za abiria ya Ryanair's barani Ulaya - utaweza kununua ndege mbili pekee huku $65m zikisalia kama chenji,
Vilevile, unaweza kununua ndege ya kibinafsi kwa Neymar mmoja itakayogharimu kama dola milioni 100 na baadaye kutumia fedha zilizosalia kwakuendeshea ndege hiyo kila mwaka

Mshahara wa kikosi chote cha New York Yankees
Uchumi wa mataifa sita
Iwapo unammiliki Neymar mmoja unaweza kukidhi uchumi wa moja ya mataifa sita madogo duniani .Mataifa ya Tuvalu, Montserrat, Kiribati, Visiwa vya Marshall , Nauru and Palau - vyote vina ukuwaji wa kiuchumi wa kati ya $33m hadi $258m, kulingana na data ya Umoja wa mataifa ya 2015.Deni la taifa moja dogo ni sawa na kiwango kidogo cha deni la Mrekani

Mataifa hayo yana madeni madogo.
Kwa hivyo unapotaka kutoa usaidizi kama vile kwa Marekani yenye deni kubwa Neymar mmoja anaweza kupunguza deni hilo kwa 0.001% ambalo ni dola trilioni 18.4
Kwa Tanzania Neymar angeweza kulipa bajeti ya nchi hii kwa miaka isiyopungua 8.
Lakini iwapo unaweza kujiwekea $1,000 kila siku unaweza kumnunua Neymar baada ya miaka 718
Cha kufanya na sisi tutaute vijana wanaoweza kusakata kabumbu na mwisho wa siku tunaweza kumpata Neymar wetu.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni