Gwiji la soka la Ureno miaka ya sitini Eusebio amefariki dunia akiwa na miaka 71.
Christiano Ronaldo akiwa na Eusebio
Eusebio aliyezaliwa Msumbiji mwaka 1942 wakati huo likiwa koloni la Ureno, alichezea Ureno jumla ya mechi 64 na kufunga magoli 41.
Eusebio akiwa na Bobby Chalton
Mchezaji huyo wa timu ya Benfica alifunga magoli 9 katika Kombe la Dunia la mwaka 1966 nchini Uingereza ikiwa ni pamoja na magoli 4 dhidi ya Korea ya Kaskazini.
Akiwa mchezaji bora wa wakati wote Eusebio alifunga mabao 733 katika mechi 745 alizocheza.
Eusebio akiwasumbua Arsenal
Mwaka 1966 Eusebio alichaguliwa kuwa Mwanasoka Bora barani Ulaya mwaka 1965uropean Footballer of the Year in 1965.
Akiwa na Bobby Chalton mwaka 2003 Old Trafford
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni