Jumamosi, 25 Januari 2014

MAFURIKO KILOSA NA MVOMERO

Mafuriko makubwa yamekumba wilaya ya Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro kuanzia tarehe 22/1/2014 ambapo mtu mmoja amefaiki dunia na watu zaidi ya 11,000 wakiathithiriwa.

Baadhi ya picha za mafuriko haya ni hizi hapa




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni