Birthday Boy...Mzee Arnold Nkhoma akiwasili kwenye Kanisa la Mtakatifu Andrew lililopo Magomeni jijini Dar kuhudhuria Ibada ya kutoa shukrani kwa kutimiza miaka 100 akiwa amesindikizwa na mmoja wa watoto wake wa kiume pamoja na mjukuu wake Sawiche Wamunza (kushoto).
Birthday Boy Mzee Arnold Nkhoma akihudhuria Ibada pamoja na kutoa shukrani ya kutimiza miaka 100 kwenye kanisa la Mtakatifu Andrew lililopo Magomeni jijini Dar. Aliyeketi nae ni mmoja wa watoto wake wa kiume aliyemsindikiza baba yake.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mzee Arnold Nkhoma waliohudhuria ibada hiyo.
Mchungaji wa Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Andrea akifanya maombi maalum kwa ajili ya Mzee Arnold Nkhoma na familia walipofika kanisani kwa ajili ya kutoa shukrani ya kutimiza miaka 100 babu yao.
Mchungaji Mkuu wa kanisa la Mtakatifu Andrea akimwaga maji ya baraka kwa Mzee Arnold Nkhoma pamoja na familia yake.(P.T)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni