Picha hii sio ya tukio lenyewe
Watu wawili wamepoteza maisha, majeruhi 20 na wengine 9 hali zao mbaya wamehamishwa hospitali na kupelekwa Bugando kutokana hali zao kuwa mbaya na 10 wakiwa wamelazwa katika hospitali moja karibu na eneo la tukio lilipo tokea baada ya basi la Mohammed Trans la Mwanza-Singida kuacha njia na kupinduka eneo la Ukiliguru, Mwanza!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni