PIcha na Emmanuel Herman
Tukio hilo lililotokea saa 11 jioni, lilizua hofu miongoni mwa wakazi na wafanyakazi wa eneo hilo, na lilitokana na hitilafu ya kiufundi wakati wa kulitengeneza tanki hilo.
Mashuhuda wa tukio hilo lililojeruhi watu watatu waliliambia Mwananchi kuwa mlipuko huo ulitokea wakati fundi akichomea sehemu ya tanki katika karakana ya magari ya kampuni hiyo.
Hii si maara ya kwanza ya ajali za namna hii kutokea nchini. Mafundi wanapaswa kuelewa kuwa wanapochomea magari hasa ya Mafuta wawe waangalifu na kuchukua hadhari kubwa. (TK)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni