Alhamisi, 26 Juni 2014
KULINDA FIGO YAKO FANYA YAFUATAYO
Mambo haya yapaswa kuzingatia ili kulinda figo mwilini mwako kwani usipofanya hivyo basi upo katika hatari ya kuhatarisha figo yako.
Hukojowi mapema mkojo ukikushika hivyo unahitajika kukojoa kwa wakati.
Hunywi maji ya kutosha, hapa unahitajika kunywa maji mengi kulikana na mahitaji ya mwili.
Unakula chumvi sana kwenye chakula.
Hujitibu magonjwa ya kawaida kwa haraka na vizuri.
Unakula nyama sana.
Huli chakula cha kutosha, utahitajika kula chakula cha tosha
Unatumia Vidonge vya kukata maumivu kwa wingi.
Huli kwa wingi vayakula vya virutubisho.
Unakunywa pombe kupita kiasi.
Hupumziki vya kutosha.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni