Unaweza kudhani labda ni simulizi za kusisimua ambazo pengine huwa nyingi zinaishia kuandikwa tu kwenye majarida na makala mbalimbali lakini hii ni tofauti. Unaambiwa huyu jamaa alifariki na ndugu zake wakaenda kuuchukua mwili wake kisha kuuzika kwa heshima zote.
Sasa inshu imekuja jamaa amerudi na tatizo limekuwa kwamba hakuna anayemuamini hadi mke wake kamkimbia na kaburi lake lipo kinachoshangaza ni kuwa hata hitma wameshakamilisha, sasa kaenda live studio
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni