Miili ya watu zaidi ya mia moja imekamatwa kwenye machimbo ya kokoto Bunju. Tunaomba radhi kwa picha za kutisha.
Mmoja ya Kiungo cha Mguu
Baadhi ya Mifuko ambamo Maiti izo zilikuwa zimewekwa
Gari likiwa limebeba mifuko yenye viuongo hivyo, ambapo Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limeanza uchunguzi wa kina baada ya kukakamata viungo mbalimbali vinavyodhaniwa kuwa ni vya binadamu katika mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto sehemu za Mbweni Mpiji, Magohe, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.
Sehemu ya mifuko ya plastiki iliyokutwa na viungo hivyo ambavyo inasemekana ni pamoja na mikono, miguu, ngozi na sehemu nyingine za miili
Umati wa watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo
Watu zaidi wakiwa wanaongezeka katika eneo la Tukio
Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Miili ilikuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili italetwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.
Endelea kufuatilia hapa.
PICHA ZOTE NA DAR ES SALAAM YETU BLOG
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni