Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano
wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM kulia ni
makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano
wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM
Jengo la Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM linavyoonekana kwa nje.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na
makandarasi wanaojenga ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Dodoma jana. Muonekano wa ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Dodoma(picha na Freddy
Maro
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni