Alhamisi, 21 Agosti 2014

WEZI TANGA WAFUKUA KABURI NA KUIBA NGUO ZA MAREHEMU


Ndugu wa Marehem wakifukia kaburi hilo

Watu wasiojulikana wamefukua mwili wa marehemu Agnes Gao aliyekuwa akiishi eneo la zizini wilayani Handeni kisha kuiba mavazi yake ya mwisho aliyovishwa tukio hilo la kusikitisha limekuja siku mbili tu baada ya mwili wa marehemu kuzikwa.

Pengine hili ni fundisho kwa wengine kutozika marehemu wao na ngu za bei mbaya sijui ingawa watu wengi wamehusisha tukio hilo na ushirikina.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni