Jumatatu, 22 Septemba 2014

BENDI MPYA YA YAMOTO BAND YAZINDULIWA DAR

Dogo Aslay akiwapagawisha mashabiki wakati wa uzinduzi rasmi wa Yamoto Band.

Mashabiki wakiwa wamepagawa na burudani ndani ya Dar Live.


Yamoto Band wakilishambulia jukwaa la Dar Live wakati wa uzinduzi huo.



Mkubwa Fella akiwashukuru mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.


Mzee Yusuf akiwapa raha mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo katika uzinduzi wa Yamoto Band.

Mashabiki wa Mzee Yusuf wakiwa wamepagawa na burudani ndani ya Dar Live.

Mzee Yusuf na vijana wake wakifanya yao stejini.

Mashabiki wa Mzee Yusuf wakishow love.

Msafiri Diouf 'Lewandowsky' wa Twanga Pepeta akifanya vitu vyake jukwaani kwenye uzinduzi wa Yamoto Band ndani ya Dar Live.

Nyomi iliyofurika ndani ya Dar Live.

Kalala Junior akiwapagawisha mashabiki wa Twanga Dar Live.

Twanga ikiendelea kuwapa raha mashabiki.

Mashabiki wakijiachia.
(PICHA: SHANI RAMADHANI, ISSA MNALLY NA GABRIEL NG'OSHA/ GPL)


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni