Jumanne, 23 Septemba 2014

BODABODA ZAGONGANA USO KWA USO


wakazi wa kata ya mwangata manispaa ya iringa wajikusanya kushuhudia ajali ya pikipiki na pikipiki kugongana uso kwa uso eneo la stendi ya kidamali mwangata iliyotokea jioni hii. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

Dereva bodaboda akiwa hajitambui baada ya kugongana na mwenzake baada ya kugongana uso kwa uso eneo la stendi ya kidamali mwangata iliyotokea jioni hii. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Dereva bodaboda akibebwa na wasamaria wema kupelekwa hospitali baada ya kugongana na mwenzake na kusaidiwa na wananchi wa kata ya mwangata manispaa ya iringa waliojikusanya kushuhudia ajali ya

pikipiki na kugongana uso kwa uso eneo la stendi ya kidamali mwangata iliyotokea jioni hii. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni