Jumanne, 14 Oktoba 2014

BASI LA HAPPY NATION LAGONGANA NA GARI DOGO YAUA

Mmoja wa kati ya Marehemu wa ajali hiyo aliyetambulika kwa jina la Dennis ambaye anatajwa kuwa mfanyakazi ya Exim Bank tawil la Arusha na kwamba katika ajali hiyo alikuwa na baba yake mdogo.

Haya ndiyo mabaki ya gari hilo baada ya ajali.


Picha hii inadaiwa kupigwa muda mfupi kabla ya kuanza safari .

.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni