Papa Msofe (katikati) akishuka ngazi za Mahakama ya Kisutu baada ya kesi kuahirishwa.KESI ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ na mwenzake, Makongoro Joseph, imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kuahirishwa hadi Oktoba 13 mwaka huu kutokana na uchunguzi kutokamilika.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni