Barabara kuu za Madrid zimajaa
maelfu ya watu wanaofanya mhadhara kuunga mkono chama cha mrengo wa
kushoto cha Uspania, Podemos, kinachopinga sera za kubana matumizi.
Ni maandamano makubwa kabisa ya Podemus ambayo yamepata nguvu baada ya ushindi wa chama cha Syriza nchini Ugiriki.
Waandamanaji walipepea bendera za Ugiriki na kupiga kelele dhidi ya wanasiasa wa sasa wa Uspania.
Podemos ilianza mwaka jana na sasa inaongoza katika kura za maoni, kabla ya uchaguzi mkuu wa mwisho wa mwaka
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni