Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Chief wa Wahehe, Adam Abdu Sapi
Mkwakwa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa
Februari 20, 2015 baba yake Chief huyo, Marehemu Abdu Adam Sapi Mkwawa
uliotokea hivi karibuni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika dua mbele ya kaburi la
marehemu Abdu Adam Sapi Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief
huyo, Kalenga Iringa kuhani msiba wa chief huyo.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizunbgumza na viongozi wa wilaya ya Kilolo baada
ya kusomewa taarifa ya wilaya hiyo Februari 21, 2015. Kushoto ni Mkuu wa
Mkoa wa Iringa, Amina Masenza.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakisalimiana na walimu wa
sekondari ya Ilula kabla ya kukagua ujenzi wa maabara katika shule hiyo
akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua moja ya madara ambayo yamegeuzwa kuwa
maabara katika Shule ya Sekondari ya Ilula akiwa katika ziara ya mkoa wa
Iringa Februari 21, 2015. Kitendo hicho hakikumfurahisha na aliagiza
kisirudiwe tena sehemu nyingine na kuwa majengo mapya yajengwe kwa ajili ya maabara
Mke
wa Waziri Mkiuu, Mama Tunu Pinda akizungumza na wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Ilula wilayani Kilolo ambako Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
alikagua ujernzi wa maabara na kuhutubia wananchi.
Mkuu,
Mizengo Pinda akikagua banio katika mradi wa umwagiliaji maji wa kijiji
cha Nyanzwa wilayani Kilolo akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa
Februari 21, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakikagua shamba la vitunguu la Bw.
Furaha Ngalali (kulia) wakati walipotembelea mradi wa umwagiliaji wa
kijiji cha Nyanzwa wilayani Kilolo Februari 21, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Meneja Mipango wa Kampuni ya
Mawasiliano ya simu ya VIETTEL TANZANIA LIMITED tawi la Iringa,
Salvatory Elikidus katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri
Mkiuu, Mizengo Pinda katika kijiji Nyanzwa wilayani Kilolo Februari 21,
20154. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Tawi la Iringa, Tran Nhat
Duy na wa pili kushoto ni Mkuu wa Idara ya Fedha, Vo Ngoc Thang.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni