AALI TENA BASI LA PRICESS MURO LAPATA AJALI DODOMA MMOJA AFARIKI
BASI LA PRINCES MUNAA LAPIGA MWELEKA MKOANI DODOMA LEO
Taarifa
zilizotufikia kutokea Mkoani Dodoma zinasema kuwa kumetokea ajali ya
Basi la Princes Munaa lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kwenda
Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa
Dodoma. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii, watu kadhaa
wamejeruhiwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni