Najua
watu wengi waliisubiri hii kwa hamu.. wengine hata sio mashabiki wa
boxing lakini walijikuta wakivutiwa na hii.. Promo ilikuwa kubwa sana,
pambano la kihistoria ambalo dunia nzima ililisubri ni hili kati ya
Floyd ‘Money’ Mayweather na Manny Pacquiao.
Points
tayari zimeamua, pambano limeenda kwa round 12, Floyd
Mayweather kamshinda Pacquiao kwa points sita tu.. Floyd ana points 117
na Pacquiao ana points 111.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni