Jumatatu, 4 Mei 2015

WATU WATATU WAUAWA BURUNDI NI KATIKA MAANDAMANO

Ghasia Burundi
Takriban watu wawili wameuawa wakati wa ghasia kati ya polisi na waandamanaji kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura.

Polisi walifyatua risasi huku waandamanaji wakirusha mawe na guruneti.
Majeruhi wa Ghasia Burundi
Polisi wawili na waandamanaji sita nao walijeruhiwa.
Waandamanaji hao wanalalamikia hatua ya rais Pierre Nkurunziza ya kuwania urais kwa mhula wa tatu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni