Mmoja wa wapelelezi hao akichinjwa na mpiganaji wa ISIS.
WATU watatu wanaodaiwa kuwa wapelelezi wameuawa kwa kuchinjwa na wapiganaji wa Kundi la ISIS nchini Iraq.
Wapelelezi wawili waliouawa kwa kuchinjwa. Mpelelezi wa tatu hayupo pichani.
Picha
zilizochukuliwa kutoka eneo la mauaji hayo zinaonyesha watu wawili
wakiwa wamepiga magoti huku mpiganaji wa ISIS akiwa amesimama pembeni
yao na panga mkononi kwa ajili ya kufanya mauaji hayo.
Picha hizo zilichukuliwa huko Kaskazini-Magharibi mwa Mkoa wa Nineveh nchini Iraq.
Vitendo
vya mauaji ya kuchinjwa hadharani, kupigwa mawe na mauaji mengine kadhaa
ya kutisha vimekuwa vikitokea mara kwa mara vikilihusisha kundi hilo la
ISIS.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni