NOAH

Kurasa

  • HOME
  • CONTACT US
  • NAFASI ZA KAZI

Ijumaa, 5 Juni 2015

CHURA AKUTWA NDANI YA KOPO LA NYANYA


Chura apatikana katika kopo la nyanya
Mtu na mkewe waliokuwa wakiandaa chakula cha mchana walipigwa na butwaa walikuta chura aliyekuwa amekufa ndani ya mkebe wa tomato.
Muhammad na Sanam Hussain waligundua hayo wakati bi Hussain alipokuwa akipika mchuzi katika nyumba yao huko Alum Rock mjini Birmigham.
Bi Hussain ambaye ni mjamzito wa miezi saba amesema kuwa anaugua baada ya kukiona kiumbe hicho ndani ya mkebe wa tomato.
Kampuni ya Euro Foods inayouza bidhaa hiyo imesema kuwa inachunguza ni vipi chura huyo aliingia ndani ya mkebe huo.

Chura apatikana ndani ya mkebe wa tomato Uingereza
Bi Hussain amesema,''kwa kweli inachukiza, nimeshtuka sana, nina wasiwasi kuhusu mtoto wangu kwa kuwa mimi ni mjamzito''.
''Nimeongea na mkunga wangu kuhusu niliyoyaona na akaniamibia niende hospitalini nitakaposikia vibaya.'', Mumewe amesema kuwa alishtushwa na makelele yaliopigwa na mkewe.
''Mke wangu alikuwa akiniandalia chakula cha mchana na mwanagu wa miezi 15 Wakati alipofungua mkebe huo alionekana na kuanza kupiga makelele akiniita''.
Posted by Unknown at 11:48
Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye FacebookShiriki kwenye Pinterest

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)

NOAH JR

NOAH JR

Machapisho Maarufu

  • WATU WAWILI WAUAWA NA POLISI BURUNDI
    Ghasia zazuka nchini Burundi ...
  • POLISI MORO WAMNASA MRUNDI NA VIFAA VYA UJAMBAZI
    Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Leonard Paul akionyesha kifaa kinachotumika na waharifu kwaajili ya kutega barabarani kwaajili...
  • BRITISH TOURIST KILLED BY ELEPHANTS IN INDIA IN ONE A MILLION SAFARI ACCIDENTS
    The inquest heard the 67-year-old had travelled on the latest of several trips to visit local friends for a safari in southern India ...
  • UINGEREZA INAWEZA KUWA NJE KOMBE LA DUNIA
    Nimeimaliza timu yangu!: Steven Gerrard na Phil Jagielka wakishangaa kilichowakuta mjini Sao Paulo. `MNYAMA` Luis Suarez ak...
  • MAMLAKA YA HALI YA HEWA YASEMA MVUA KUBWA INAKUJA
    Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam siku wakichimba udongo chini ya Daraja la Mto Msimbazi lililopo Tabata Matumbi jana kutafuta miili ya...
  • HOMA YA DENGUE YAUA MMOJA DAR
    Mbu anayeaminika kueneza homa ya dengue. Ugonjwa wa homa ya dengue ulioibuka jijini Dar es Salaam kuanzia mwishoni mwa Januari, mwaka...
  • BASI LAPIGWA BOMU KIGOMA WATATU WAFARIKI
      Picha ya maktaba bomu likiwa limetegwa ardhini. KIGOMA. Watu watatu wamekufa akiwepo mtoto mchanga na wengine sita kuj...
  • AJALI YA LORI YAUA MMOJA DAR
    Mwili wa mwanamke mmoja ambaye hakufaham i ka jina lake baada ya kukanyagwa na lori na kupoteza maisha. Msamalia mwema akiu...
  • MWANABLOGU ALIYETUSI UISLAM JELA NA VIBOKO ALFU
      Maandamano ya wanaopinga adhabu kali nchini Saudia   Mahakamu kuu nchini Saudia imeamua kuwa hukumu ya kifungo cha ...
  • MAN U HOI KWA LEICESTER CITY YACHAPWA 5-3
    Timu ya Manchester United ya England imekutana na kipigo cha mbwa mwizi baada ya kuongoza kwa mabao  2 - 1 katika kipindi cha kwanza. Kikosi...

BLOG MARAFIKI

  • MATUKIO NA VIJANA
    - *MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu kwenye ukum...
    Miaka 7 iliyopita

Kumbukumbu la Blogu

  • Novemba (12)
  • Desemba (31)
  • Januari (95)
  • Februari (51)
  • Machi (65)
  • Aprili (77)
  • Mei (49)
  • Juni (73)
  • Julai (83)
  • Agosti (101)
  • Septemba (156)
  • Oktoba (40)
  • Novemba (13)
  • Desemba (21)
  • Januari (67)
  • Februari (47)
  • Machi (32)
  • Aprili (58)
  • Mei (103)
  • Juni (73)
  • Julai (33)
  • Agosti (6)
  • Septemba (7)
  • Oktoba (5)
  • Novemba (4)
  • Desemba (4)
  • Januari (7)
  • Februari (6)
  • Machi (10)
  • Aprili (11)
  • Mei (5)
  • Juni (12)
  • Julai (11)
  • Agosti (3)
  • Septemba (4)
  • Oktoba (6)
  • Novemba (24)
  • Desemba (10)
  • Januari (26)
  • Februari (14)
  • Aprili (4)
  • Mei (13)
  • Juni (4)
  • Julai (10)
  • Agosti (32)
  • Septemba (25)
  • Oktoba (8)
  • Novemba (12)
  • Desemba (20)
  • Januari (12)
  • Aprili (4)

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Kunihusu

Unknown
Tazama wasifu wangu kamili
Mandhari ya Dirisha la Picha. Inaendeshwa na Blogger.