Mwanasiasa
wa chama cha Republican, na gavana wa jimbo la Florida, Jeb Bush
ametangaza rasmi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania nafasi ya urais wa
taifa hilo kubwa duniani kiuchumi kwa tiketi ya chama hicho cha
Republican.
Lakini mwandishi wa BBC Amerika Kaskazini anasema Jeb Bush pia anaweza kutegemea mtandao wa kisiasa wa kifamilia na nguvu ya uchangishaji
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni