Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh
Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliyezikwa jana Juni 16,
2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Masheikh
kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Mufti Mkuu wa Tanzania,
Sheikh Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye
Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni