By Jerry Silaa
Kwa
masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji
imefanikiwa kufika eneo la ajiali na kukuta abiria wote na rubani
wamepoteza maisha. Nimepoteza Baba na rubani mzuri wa nchi yetu
Capt.William Silaa, nimepoteza rafiki na kiongozi wangu Mhe.Deo
Filikunjombe. Nawapa pole wote waliopoteza ndugu zao. Nawaombea marehemu
mapumziko ya Amani.Nawashukuru wote walioshirikiana na familia kusaidia uokozi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni