Sultan Kösen ana urefu wa futi 8 na inchi 3 au mita 2.51.
Mtu mrefu zaidi
duniani raia wa Uturuki Sultan Kösen aliye na urefu wa futi 8 na inchi 3
au mita 2.51 amewasilia nchini Mauritius leo asubuhi.
Sultan
alilakiwa na umati katika kisiwa hicho cha bahari ya Hindi, kwa mujibu
wa taarifa zilizowekwa kwenye ukusara wa facebook wa mtandao wa habari
wa nchi hiyo.Akiongea wakati alipoingia kwenye rekodi ya kitabu cha Guinness World Records alismea," Sikutarajia ningekuwa kwenye kitabu hicho, ni sawa na ndoto lakini bado ulikuwa ni mshangao mkubwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni