Gazeti la Zimbawe
Independent la nchini Zimbabwe, leo hii limechapisha ripoti kuwa mke wa
rais wa nchi hiyo Robert Mugabe, Grace Mugabe anashtakiwa kutokana agizo
aliloweka kwa pete ghali zaidi ya almasi.
Taarifa hiyo
inaendelea kusema kuwa Bi Mugabe alikuwa amesema kuwa mmewe alikuwa
anataka kununua pete hiyo kuadhimisha miaka 20 ya ndoa yao. Pete hiyo iliagizwa kutoka kwa muuzaji mjini Dubai kutoka kupitia kwa mfanyibiashara mmoja.
Kesi hiyo inaonekana kuwa ngumu na ina madai yanayohusu mmoja wa wanawe wa kiume na mlinzi wake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni