Alhamisi, 16 Januari 2014
HATARI LAKINI SALAMA
Kijana akiwa amemparamia ng'ombe mgongoni wakati akiwa katika michezo yake.
Huyu ni askari aliyeamua kukalia bunduki yake baada ya kusimama kwa muda mrefu na jambo aliloliona kupumzisha uchovu wake ndiyo hivyo lakini haikuweza kufahamika kama silaha hiyo ilikuwa na risasi ama alaa japo ni hatari kwa maisha yake.
Kijana wa kihindi akiwa amewapakia wenzake watano na kufanya idadi yao kuwa sita katika pikipiki moja wakati wakisafiri kutoka eneo moja kwenda lingine jambo hilo ni hatari na linapinga kabisa na sheria za usalama barabarani duniani kote, kwa Tanzania kitendo kinafananishwa na nyama ya mishikaki wakiwa na maana ya upakiaji wake abiria wengi kwenye pikipiki moja.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni