MAPOKEZI YA MWILI WA WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI DK WILLIAM MGIMWA WAWASILI MKOANI IRINGA TAYARI KWA MAZISHI.
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha Dr William Mgimwa umewasili mkoani Iringa na kupokelewa na wananchi wengi.
Jeneza lenye mwili wa
waziri wa fedha na uchumi Dk William Mgimwa likiteremkshwa kutoka kwenye
ndege.
Madiwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mgimwa.Jeneza likiwasili katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo.Wananchi wakiwa katika foleni ya kuaga mwili huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni