Karibu nyumbani...RaisMugabe akiwa na Joice Mujuru mara baada ya kurejea Harare
Rais Robert Mugabe amerejea nyumbani Ijumaa asubuhi kutoka nchini Singapore ambako alikuwa kwenye likizo yake ya mwaka.
Kiongozi huyo wa Zanu PF alilakiwa katika uwanja wa ndege wa Harare International Airport na Makamu wa Rais Bibib Joice Mujuru na viongozi waandamizi wa Serikali.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni