Jumatatu, 18 Agosti 2014

JAJI MAKAME HATUNAYE



Jaji Lewis  enzi za uhai wake

Jaji Lewis Makame amefariki muda mchache uliopita katika Hospitali ya Trauma Centre Masaki, aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

Habari zaidi tutawajulisha

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni